إرسال رابط إلى التطبيق

Fumbo App


4.4 ( 8144 ratings )
كلمة ألعاب لغز التعليم
المطور: Robert Rutenge
حر

Je, unapenda mchezo wa kutumia akili. Fumbo ni mchezo unaokufanya uchangamshe ubongo kwa kukupa nafasi sita za kukisia neno la kiswahili na kuweza kushare na marafiki zako kila siku.

Sio hivyo tu, mtu wa kwanza kupata jibu sahihi kila siku atajishindia zawadi kutoka kwetu